Kitale ni mji wa Kenya katika Bonde la Ufa la Afrika Mashariki. Ni makao makuu ya kaunti ya Trans-Nzoia.
Hifadhi ya Taifa ya Saiwa Swamp ni kati ya hifadhi za taifa nchini Kenya.
Endebess ni kata ya kaunti ya Trans-Nzoia, Eneo bunge la Endebess, nchini Kenya.
Kitale Airport is an airport in Kitale, Kenya.
Kiminini ni mji mdogo wa Kenya ambao wakati wa sensa ya mwaka 2019 ulikuwa na wakazi 16,560.
Makumbusho ya Kitale yanapatikana magharibi mwa Kenya, kilomita 380 kutoka mji mkuu wa Nairobi, na kilomita moja kutoka mjini Kitale.. Ni makumbusho ya kwanza ya nyumbani nchini Kenya yaliyofunguliwa mwaka 1924.